tuwazi

0

1. Ala ya madini ya umbo la sahani.

Nomino
Mfano wa matumizi Mpigaji amepiga tuwazi.

2. Bakuli la madini la kunawia mikono.

Nomino
Mfano wa matumizi Mwenyeji ameleta tuwazi la kunawia.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →