towe

0

1. Tunda mithili ya bungo la mmea unaojifunga unapokua.

Nomino
Mfano wa matumizi Mtafiti ameonesha towe kwenye mmea.

2. Donge la udongo wa kutengenezea vyombo.

Nomino
Mfano wa matumizi Mfinyanzi ameshika towe.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →