toto

0

1. Ua jekundu linaloning’inia mwisho wa mkungu wa ndizi.

Nomino
Mfano wa matumizi Toto linaning’inia chini ya mkungu.

2. Kigari cha abiria kinachofungwa pembeni mwa pikipiki.

Nomino
Mfano wa matumizi Abiria ameketi katika toto la pikipiki.

3. Kishimo katika tonge la ugali cha kuchotea mchuzi.

Nomino
Mfano wa matumizi Amechotea mchuzi kwa toto la tonge.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →