topea

0

1. Zama unapokanyaga katika udongo wenye maji.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mguu umetopea karibu na bwawa.

2. Fikia ujuzi mkubwa sana wa jambo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mutesi ametopea katika uchongaji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →