Alama ya pambo mkononi inayochorwa kwa utomvu wa mkorosho.
Nomino
Mfano wa matumizi
Picha ya zamani inaonesha tindija mkononi.
Traditional arm mark; a decorative mark made with cashew sap.
Nomino
Example
The old picture shows a traditional decorative arm mark.
Marque décorative du bras; motif traditionnel réalisé avec de la sève d’anacardier.
Nomino
Exemple
L’ancienne image montre une marque décorative traditionnelle sur le bras.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi