Maana 1
Kuwa na ushahidi wa kutosha unaoonyesha bila shaka kwamba jambo ni kweli au sahihi.
Mfano wa matumizi: Ukweli wa madai hayo umeweza thibitika mahakamani.
Kuwa na ushahidi wa kutosha unaoonyesha bila shaka kwamba jambo ni kweli au sahihi.
Mfano wa matumizi: Ukweli wa madai hayo umeweza thibitika mahakamani.
Kuwa dhahiri au bayana bila shaka yoyote; kujitokeza waziwazi.
Mfano wa matumizi: Uaminifu wake ulithibitika baada ya uchunguzi wa kina.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.