1. Unda kitu kwa kuunganisha au kubadili malighafi.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Fundi anatengeneza meza kwa mbao.
2. Rekebisha kitu kilichoharibika kitumike tena.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Amani ametengeneza baiskeli iliyoharibika.
1. Make; create an object from materials.
Kitenzi
Example
The craftsperson is making a table from wood.
2. Repair; restore a damaged object to working order.
Kitenzi
Example
Amani has repaired the damaged bicycle.
1. Fabriquer; créer un objet à partir de matériaux.
Kitenzi
Exemple
L’artisan fabrique une table en bois.
2. Réparer; remettre un objet endommagé en état de fonctionner.
Kitenzi
Exemple
Amani a réparé le vélo endommagé.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi