teleka

0

1. Weka chombo cha kupikia juu ya jiko.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mpishi ameteleka sufuria ya maji.

2. Ndege mdogo wa jamii ya mbaywayu mwenye mkia mrefu wa panda.

Nomino
Mfano wa matumizi Teleka ameruka juu ya ua.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →