Teknolojia ya kushughulikia habari na kuwezesha mawasiliano ya kielektroniki.
Nomino
Mfano wa matumizi
Teknohama inasaidia mawasiliano kati ya shule zetu.
ICT; electronic technologies for handling information and communication.
Nomino
Example
ICT supports communication between our schools.
TIC; technologies électroniques de traitement de l’information et de communication.
Nomino
Exemple
Les TIC facilitent la communication entre nos écoles.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi