Historia ya maisha iliyoandikwa na mwenye maisha hayo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwandishi amechapisha tarijama yake.
Autobiography; a person’s account of their own life.
Nomino
Example
The writer has published her autobiography.
Autobiographie; récit de sa vie écrit par la personne concernée.
Nomino
Exemple
L’écrivaine a publié son autobiographie.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi