tarazaki

0

1. Mungu kumpatia mtu riziki ya maisha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Waumini wanaamini Mungu huwatarazaki viumbe wake.

2. Fanya shughuli ya kujipatia riziki.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Anatarazaki kwa kushona nguo mjini Morogoro.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →