Maana 1
Kuongezeka kwa upana; kupata upana zaidi kuliko ulivyokuwa awali.
Mfano wa matumizi: Mto ulitanuka baada ya mvua kubwa kunyesha.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.