Maana 1
Kufanya juhudi za kuondoa tofauti, ugomvi, au mzozo kati ya watu au makundi ili wapate kuelewana na kuishi kwa amani.
Mfano wa matumizi: Mwalimu alisaidia suluhisha mgogoro uliokuwepo kati ya wanafunzi wawili.

Kutatua tatizo, changamoto, au swali kwa kutumia mbinu au maarifa maalum.
Mfano wa matumizi: Suluhisha hesabu hii kabla ya muda kuisha.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.