1. Achana na kitu ulichokuwa umeshikamana nacho.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Ganda lilisukuka kutoka kwenye ubao.
2. Pitisha kidole usoni mwa mtu kwa haraka unapomsuta.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alikatazwa kumsukuka mwenzake usoni.
1. Come unstuck; become detached from something.
Kitenzi
Example
The covering came unstuck from the board.
2. Swipe a finger across someone's face; touch the face contemptuously while rebuking.
Kitenzi
Example
He was told not to swipe his finger across his companion's face.
1. Se décoller; cesser d'adhérer à une chose.
Kitenzi
Exemple
Le revêtement s'est décollé de la planche.
2. Passer un doigt sur le visage; geste méprisant effectué en réprimandant quelqu'un.
Kitenzi
Exemple
On lui a interdit de passer un doigt sur le visage de son camarade.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi