suka

0

1. Fuma nywele au chane kwa kuzipitisha kwa kupishana.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Akinyi alisuka nywele za dada yake.

2. Tingisha chombo chenye kimiminika huku na huku.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alisuka chupa ya maziwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →