stahika

0

1. Tukuka na kupewa heshima kubwa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kiongozi huyo alistahika kwa uadilifu wake.

2. Kuwa na hadhi ya kufichiwa mambo yako.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alistahika hata watu wakatunza siri zake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →