Maana 1
Kufanya mtu au watu wapate mshangao kutokana na jambo lisilo la kawaida au la ajabu.
Mfano wa matumizi: Habari hiyo iliwa staajabisha wengi mjini.
Kufanya mtu au watu wapate mshangao kutokana na jambo lisilo la kawaida au la ajabu.
Mfano wa matumizi: Habari hiyo iliwa staajabisha wengi mjini.
Kusababisha mtu au watu waone jambo kuwa la ajabu mno kiasi cha kushindwa kulielewa kwa urahisi.
Mfano wa matumizi: Uhodari wake wa kuzungumza lugha nyingi ulistaajabisha wageni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.