songana

Kujikusanya au kukusanyika watu, wanyama, au vitu wengi katika sehemu ndogo au isiyotosha.

Kujikusanya kwa wingi mahali pamoja hadi kukosa nafasi ya kutosha.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili