Katika hali ya kuachwa ukisubiri kwa muda mrefu.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Tulibaki solemba kituoni huku tukimngojea dereva.
Left waiting; in the state of being kept waiting for a long time.
Kielezi
Example
We were left waiting at the station for the driver.
En plan; dans la situation de quelqu'un qu'on laisse attendre longtemps.
Kielezi
Exemple
Nous sommes restés en plan à la gare en attendant le chauffeur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi