Toa kitu kilichoshikamana ndani ya kingine.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Bibi alisokoa nazi kutoka kwenye kifuu.
Pry out; to detach and remove something from inside its casing.
Kitenzi
Example
Grandmother pried the coconut flesh out of the shell.
Détacher de l'intérieur; extraire une matière attachée à l'intérieur de son enveloppe.
Kitenzi
Exemple
Grand-mère a détaché la chair de noix de coco de sa coque.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi