Mfumo wa kutolea na kununulia hisa za kampuni.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wanafunzi walijifunza namna hisa zinavyouzwa katika soko la mitaji.
Capital market; a system through which companies issue shares and investors buy or sell them.
Nomino
Example
The students learned how shares are traded in the capital market.
Marché des capitaux; système permettant aux sociétés d'émettre des actions et aux investisseurs de les échanger.
Nomino
Exemple
Les étudiants ont appris comment les actions s'échangent sur le marché des capitaux.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi