Kitambaa cha kufyonza damu wakati wa hedhi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Asha aliweka sodo safi pamoja na mavazi yake ya ndani.
Menstrual cloth; a cloth worn to absorb menstrual blood.
Nomino
Example
Asha packed clean menstrual cloths with her underwear.
Protection menstruelle en tissu; tissu porté pour absorber le sang des règles.
Nomino
Exemple
Asha a rangé des protections menstruelles propres en tissu avec ses sous-vêtements.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Tanbihi
Neno hili huchukuliwa kuwa si la heshima katika baadhi ya muktadha.