Mtu mwenye maringo na majivuno.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wenzake walimwita sodai kwa tabia yake ya kujikweza.
Conceited person; someone who displays arrogance and self-importance.
Nomino
Example
His colleagues called him conceited because of his self-important behaviour.
Personne prétentieuse; personne qui affiche de l'arrogance et de la suffisance.
Nomino
Exemple
Ses collègues le trouvaient prétentieux à cause de son comportement hautain.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi