Kinywaji kisicholewesha chenye sukari na gesi.
Nomino
Mfano wa matumizi
Wageni walipewa maji, juisi na soda.
Soda; a sweet carbonated non-alcoholic drink.
Nomino
Example
The guests were offered water, juice and soda.
Soda; boisson sucrée gazeuse sans alcool.
Nomino
Exemple
On a proposé de l'eau, du jus et du soda aux invités.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi