Maana 1
Kupata hisia kali za ghafla zinazoleta mabadiliko mwilini kama vile kutetemeka, kupata msisimko wa ngozi, au kujawa na furaha, baridi, au hofu.
Mfano wa matumizi: Aliposikia habari hizo njema, alisisimka kwa furaha.

Kuhamasika au kuchochewa na jambo fulani kiasi cha kujawa na ari au hamasa ya kufanya kitu.
Mfano wa matumizi: Wanafunzi walisismika waliposikia hotuba ya mwalimu wao.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.