sindua

0

1. Fungua mlango au dirisha na kuliacha wazi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Desta alisindua madirisha asubuhi.

2. Toa mabaki ya nafaka kinuni kwa kutumia mchi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Bibi alisindua nafaka iliyobaki kinuni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →