1. Kwa kasi ya kukimbia.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Watoto walikwenda shoti uwanjani.
2. Hali ya kupata hasara.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mfanyabiashara aliingia shoti.
1. At speed; rapidly or at a run.
Kielezi
Example
The children ran quickly to the field.
2. Loss; an unfavourable financial result.
Nomino
Example
The trader made a loss.
1. À toute vitesse; rapidement ou en courant.
Kielezi
Exemple
Les enfants ont couru à toute vitesse vers le terrain.
2. Perte; résultat financier défavorable.
Nomino
Exemple
Le commerçant a subi une perte.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi