shikiza

0

1. Unganisha vitu ili vishikamane.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Fundi alishikiza vipande vya kitambaa.

2. Fanya kazi ya muda unaposubiri ile unayoitaka.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alishikiza kazi ya dukani akisubiri nafasi ya kazi chuoni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →