Kofia yenye ukingo mpana unaozunguka pande zake.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alivaa shepeu kujikinga na jua.
Broad-brimmed hat; a hat with a wide surrounding brim.
Nomino
Example
He wore a broad-brimmed hat to shield himself from the sun.
Chapeau à larges bords; coiffure munie d'un bord large tout autour.
Nomino
Exemple
Il portait un chapeau à larges bords pour se protéger du soleil.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi