1. Kitambaa laini cha wanawake cha kufunika kichwa.
Nomino
Mfano wa matumizi
Alivaa shela ya samawati.
2. Ngoma ya wanaume wa Lamu wanaocheza wakiwa na panga na bakora.
Nomino
Mfano wa matumizi
Kikundi cha Lamu kilicheza shela.
1. Head veil; a soft cloth worn by women over the head.
Nomino
Example
She wore a sky-blue head veil.
2. Shela dance; a Swahili men's dance from Lamu performed with swords and sticks.
Nomino
Example
The group from Lamu performed the shela dance.
1. Voile de tête; tissu doux porté par les femmes sur la tête.
Nomino
Exemple
Elle portait un voile de tête bleu ciel.
2. Danse shela; danse masculine swahilie de Lamu exécutée avec des épées et des bâtons.
Nomino
Exemple
Le groupe de Lamu a exécuté la danse shela.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi