sharubu

Nywele zinazoota juu ya mdomo wa binadamu, hasa kwa wanaume, au kwa baadhi ya wanyama.

Nywele maalum zinazoota juu ya mdomo wa binadamu au wanyama, aghalabu kwa wanaume.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiarabu (شارب)