shabiki

0

1. Mtu anayependa na kuunga mkono jambo kwa hamasa.

Nomino
Mfano wa matumizi Nambala ni shabiki wa mpira wa kikapu.

2. Mwenye kusubiri nafasi ya aliyeshindwa katika mchezo wa karata.

Nomino
Mfano wa matumizi Shabiki aliingia mchezaji aliposhindwa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →