seredani

0

1. Jiko linalochoma makaa kwa kupikia.

Nomino
Mfano wa matumizi Aliweka sufuria juu ya seredani.

2. Jiko dogo la makaa la kuwekea dele la kahawa.

Nomino
Mfano wa matumizi Dele la kahawa liliwekwa kwenye seredani.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →