sema

0

1. Tamka maneno kwa kutumia sauti.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kato alisema ukweli mbele ya kikao.

2. Mkaripie mtu kwa maneno makali.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alimsema mwenzake kwa kuchelewesha kazi.

3. Mzungumzie mtu kwa maneno ya kumdhalilisha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Walionywa waache kumsema jirani yao.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →