Dumu ugenini kwa muda mrefu bila kurudi kwenu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Aliselea kwa marafiki zake wa Arusha.
Stay away for long; remain away from home for an extended period.
Kitenzi
Example
She stayed for a long time with her friends in Arusha.
Séjourner longtemps ailleurs; rester loin de chez soi pendant une longue période.
Kitenzi
Exemple
Elle a prolongé son séjour chez ses amis d'Arusha.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi