Kaa ugenini muda mrefu bila kurejea nyumbani.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Alisehelea kwa ndugu zake wa Bukoba.
Overstay away from home; remain in a foreign place for a long time.
Kitenzi
Example
He stayed for a long time with his relatives in Bukoba.
Prolonger son séjour ailleurs; rester longtemps loin de chez soi.
Kitenzi
Exemple
Il a prolongé son séjour chez ses proches de Bukoba.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi