sasaula

0

1. Toa vitu sandukuni kimojakimoja na kuvionyesha.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Muuzaji alisasaula vitambaa mbele ya wanunuzi.

2. Ondoa mavazi moja baada ya jingine hadi uwe uchi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alisasaula nguo zake tayari kwa kuoga.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →