sanisi

0

1. Tengeneza dutu kwa kuunganisha viambato vyake.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Watafiti walisanisi dutu hiyo maabara.

2. Tengeneza chakula kwa mwanga kutokana na hewa ya ukaa na maji.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Majani ya mmea husanisi chakula kwa msaada wa mwanga.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →