samesame

0

1. Wadudu wekundu wa mfano wa siafu wanaouma.

Nomino
Mfano wa matumizi Samesame walikuwa kwenye shina la mti.

2. Tunda dogo jekundu lenye umbo la duara.

Nomino
Mfano wa matumizi Mtoto alionyesha samesame aliloliona mtini.

3. Shanga zenye rangi nyekundu.

Nomino
Mfano wa matumizi Alitunga samesame kwenye uzi mrefu.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →