Rusha miguu na mikono huku na kule kwa uchungu.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mgonjwa alisambaragata kwa uchungu.
Thrash about; move the limbs violently in pain.
Kitenzi
Example
The patient thrashed about in pain.
Se débattre; agiter vivement les membres sous l'effet de la douleur.
Kitenzi
Exemple
Le malade se débattait de douleur.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi