safiria

0

1. Tumia chombo fulani kufanya safari.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Walisafiria basi hadi Arusha.

2. Funga safari kwa kusudi la kumfuata mtu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alimsafiria ndugu yake aliyekuwa mbali.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →