Maana 1
Aliye na tabia ya kusema au kutenda ukweli; mwenye uaminifu na ukweli.
Mfano wa matumizi: Kiongozi sadikifu huaminika na watu wake.
Kiarabu (sadīq)
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.