Maana 1
Nambari ya kumi na saba katika mfululizo wa hesabu.
Mfano wa matumizi: Jumla ya wanafunzi darasani ni sabatashara.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.