Maana 1
Kifaa chenye umbo la mstatili, chenye alama za vipimo, kinachotumika kupimia urefu au kuchorea mistari iliyonyooka.
Mfano wa matumizi: Mwalimu alitumia rula kuchorea mstari ubaoni.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.