Mwendeshaji na kiongozi wa chombo cha usafiri, hasa ndege.
Nomino
Mfano wa matumizi
Rubani alitua salama Entebbe.
Pilot; a person operating and guiding a craft, especially an aircraft.
Nomino
Example
The pilot landed safely in Entebbe.
Pilote; personne conduisant un appareil, notamment un avion.
Nomino
Exemple
Le pilote a atterri sans encombre à Entebbe.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi