rondea

0

1. Pekua sehemu ukitafuta kilichofichika.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alirondea sanduku kutafuta ufunguo.

2. Enda mahali kwa nia ya kudoea chakula au kitu kingine.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alirondea chakula kwa ndugu zake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →