Maana 1
Vitu au mapato anayopata mtu kwa ajili ya kukidhi mahitaji yake ya msingi ya maisha kama chakula, mavazi, na makazi.
Mfano wa matumizi: Kila mtu ana riziki yake aliyopangiwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.