ripoti

0

1. Maandishi yanayoeleza matokeo ya uchunguzi wa jambo.

Nomino
Mfano wa matumizi Walimu walisoma ripoti ya shule.

2. Toa taarifa kuhusu tukio au jambo kwa kusema au kuandika.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Afisa aliripoti matokeo ya ukaguzi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →