Utepe wa rangi unaoshonwa kupamba pindo la nguo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Fundi alishona ribini kwenye pindo.
Trimming ribbon; a coloured strip sewn along a garment's edge.
Nomino
Example
The tailor sewed ribbon along the hem.
Ruban de garniture; bande colorée cousue au bord d'un vêtement.
Nomino
Exemple
Le couturier a cousu un ruban le long de l'ourlet.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi