rekodi

0

1. Nasa sauti kwenye kifaa ili isikilizwe baadaye.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Tulirekodi mahojiano ya mshairi.

2. Andika na kuhifadhi taarifa za matukio kwa matumizi ya baadaye.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Katibu alirekodi maamuzi ya kikao.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →